TRUE or FALSE

TRUE or FALSE


Wewe unalalamika sana

Una tattoo yoyote

Unajua jinsi ya kucheza

Unatumia manukato kila siku.

Wewe hulewa baada ya vinywaji vitatu

Wewe daima huwa sawa

Wewe tayari umeandika barua ya upendo

Umemsamehe mtu ambaye amekuumiza au umemsamehe mtu ambaye amekukosea

Unataka kuwa na watoto

Wewe huimba ndani ya bafu au Wewe huimba bafuni

Wewe unajuta mambo yaliyotendeka zamani

Wewe daima huchelewa

Unajua jinsi ya kucheza chombo

Wewe ni mvivu

Ungependa kuolewa katika miaka 5 ijayo